{"id":359886,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/359886/?format=json","text_counter":350,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"lawama zimetolewa na kila mmoja katika Bunge hili kuhusu pesa hizo. Ajabu ni kwamba Serikali inatoa hizi pesa lakini wazee wengi katika nchi yetu hawazipati."}