{"id":360609,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/360609/?format=json","text_counter":345,"type":"speech","speaker_name":"Hon. S.A. Ali","speaker_title":"","speaker":{"id":2100,"legal_name":"Shariff Athman Ali","slug":"shariff-athman-ali"},"content":"Hoja hii inafuatana na Katiba yetu ambayo tuliipitisha kwa kusema kwamba tutawasimamia na kuwasaidia wazee. Jambo hili liko katika Kipengee cha 57 cha Katiba ya Kenya. Kipengee hiki kinasema: âThe State shall take measures to ensure the rights of older persons.â Kipengee cha 57(d) kinasema: âto receive reasonable care and assistance from their family and the State.â"}