{"id":361130,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/361130/?format=json","text_counter":498,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":252,"legal_name":"Ali Wario","slug":"ali-wario"},"content":"Ukisoma kifungo cha 152(3), kinasema Bunge lisihusike katika kuteuliwa kwa mawaziri watakao endesha shughuli ya kitaifa. Hii ni historia kubwa ambayo ninafuraha nikisimama hapa leo kuchangia Hoja hii."}