{"id":361147,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/361147/?format=json","text_counter":515,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":252,"legal_name":"Ali Wario","slug":"ali-wario"},"content":"Ahsante, Bi. Naibu wa Spika. Mamlaka ya kuajiri Mawaziri ni mamlaka ya Utawala. Si mamlaka ya Bunge. Kazi yetu ni kuunga mkono ama kukosoa yanayopendekezwa."}