{"id":361613,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/361613/?format=json","text_counter":271,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, nikimalizia ningependa kusema kwamba wavuvi wa Turkana wanahitaji msaada wa kifedha wapewe bure na Serikali ili upate kuwasaidia katika kununua vifaa vzuri kama neti; hii itafanya hali yao ya maisha kuinuka."}