{"id":362152,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362152/?format=json","text_counter":348,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Ababu","speaker_title":"","speaker":{"id":108,"legal_name":"Ababu Tawfiq Pius Namwamba","slug":"ababu-namwamba"},"content":"Mhe. Naibu Spika wa Muda, nakamilisha kwa kusema kwamba naunga mkono ombi la kwamba, badala ya Serikali kutoa mikopo, iwe ni msaada maalum - yaani grant â pesa ambazo zitawasaidia wavuvi kuweza kujimudu na wapate nguvu ndipo wawe kwenye hali ambao wanaweza kuchukua na kulipa mikopo."}