{"id":362320,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362320/?format=json","text_counter":128,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":252,"legal_name":"Ali Wario","slug":"ali-wario"},"content":"Naibu Spika, Katiba hii inalinda haki za wanyama pia. Lakini wanyama hawasomi Katiba! Wale ambao walikuja na kuchinjia wanyama Langoni mwa Bunge, ningewaalika kabla hawajachinja nguruwe wasome Katiba kwanza."}