{"id":362321,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362321/?format=json","text_counter":129,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":252,"legal_name":"Ali Wario","slug":"ali-wario"},"content":"Katika Kifungu 94 (1) cha Katiba ya Kenya kinatoa mamlaka ya kipekee itakapokuja kwa maswala ya utunzi wa sheria. Si Utawala ama Mahakama. Ni Bunge lenye mamlaka ya kutunga sheria."}