{"id":362327,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362327/?format=json","text_counter":135,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":252,"legal_name":"Ali Wario","slug":"ali-wario"},"content":"Ahsante mhe. Naibu Spika. Kifungu cha 94 (5) kinasema hivi:- Hakuna mtu, chuo au taasisi ambayo itatunga sheria bila kupewa fursa ya Kikatiba na Bunge hili. Sasa mimi nauliza: Kwani hii Tume ya Sarah Serem imetoa mamlaka hiyo wapi? Kifungu 41 cha Katiba kinasema: Kila mfanya kazi apewe huduma, aki na usawa."}