{"id":363517,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/363517/?format=json","text_counter":107,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":252,"legal_name":"Ali Wario","slug":"ali-wario"},"content":"Janga kubwa linaloiathiri jamii katika eneo la Pwani ni matumizi ya madawa ya kulevya. Ninamwomba ole Lenku ayaangazia masuala ya ulanguzi wa madawa ya kulevya kwa dhati zaidi, ili watoto wetu warudi katika utu na ubinadamu."}