{"id":363525,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/363525/?format=json","text_counter":115,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kwa hayo machache, ninafuraha na nimpongeza Rais. Ninawaomba Wabunge kutoka pande zote za Bunge hili tuungane mkono tuipitishe Hoja, ambayo ni zawadi itaenda kwa jamii ya wafugaji na watu wa Pwani."}