{"id":364949,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/364949/?format=json","text_counter":251,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Chidzuga","speaker_title":"","speaker":{"id":751,"legal_name":"Zainab Kalekye Chidzuga","slug":"zainab-kalekye-chidzuga"},"content":"Bi. Naibu Spika wa Muda, ni ajabu kwamba tuna majimbo lakini watu wanaitwa Nairobi kuja kuhojiwa. Kwa nini hiyo huduma haiwezi kufanyika katika makao makuu"}