{"id":364953,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/364953/?format=json","text_counter":255,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bi. Naibu Spika wa Muda, hao watu wanapoajiriwa, baada ya miezi sita, wanasema wanataka kurudi kwao. Wakiruhusiwa, ile sehemu inabakia bila watu wa kuhudumu."}