{"id":371442,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371442/?format=json","text_counter":507,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mhe. Naibu Spika wa Muda, jambo ambalo tunafaa kuliangazia kabisa ni manufaa yapi ambayo yatajitokeza ikiwa kutakuwa na umeme katika nyumba nyingi katika nchi hii. Jambo linalojitokeza kwanza ni hili: Tutaweza kuwazuia watu wetu kupata maradhi ambaye hutokana na kutumia taa ambazo zinatoa moshi ambao sio mzuri kwa afya zetu."}