{"id":372744,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/372744/?format=json","text_counter":70,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Onyonka","speaker_title":"","speaker":{"id":128,"legal_name":"Richard Momoima Onyonka","slug":"richard-onyonka"},"content":"Ahsante, Mhe. Spika. Ningependa kuchangia hoja hii. Mheshimiwa Chelagat Mutai alikuwa ameheshimika na alikuwa amesoma vizuri. Kazi aliyofanya akiwa Mbunge ilikuwa ya heshima mno. Kama mwanafunzi wa awali wa"}