{"id":373783,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/373783/?format=json","text_counter":239,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Dukicha","speaker_title":"","speaker":{"id":1480,"legal_name":"Hassan Abdi Dukicha","slug":"hassan-abdi-dukicha"},"content":"Ahsante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono kidete Hoja hii ambayo imeletwa na mhe. Ali Wario. Namshukuru sana mwenzangu kwa kuleta Hoja hii wakati ambao unafaa."}