{"id":380249,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/380249/?format=json","text_counter":35,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Haji","speaker_title":"","speaker":{"id":26,"legal_name":"Yusuf Mohammed Haji","slug":"yusuf-haji"},"content":"Bw. Naibu Spika, nafikiri butchery zote za Kenya na sheria za nchi hii zinasema kwamba wanyama lazima wachinjwe; na kama hawakuchinjwa, ni haramu!"}