{"id":382246,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/382246/?format=json","text_counter":143,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kwa nini mtu aseme kwamba kuna mtu ambaye hajulikani hali yake? Sasa hivi, nikitaka kujua yale yanayoendelea katika nyumba yangu, nitaenda katika google . Kwa hivyo, kila mmoja wetu anafaa kujulikana alipo na shida yake kutatuliwa mara moja."}