{"id":382899,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/382899/?format=json","text_counter":68,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kwa hivyo, ningependa kusema kwamba tunaunga mkono Hoja hii. Sisi kama Seneti tungependa kupewa nafasi na Serikali ili tuweze kujadiliana juu ya matatizo yanayokumba wananchi wa kawaida kule mashinani."}