{"id":389258,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/389258/?format=json","text_counter":178,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kiuchumi na kisiasa ili watu wetu waweze kupata manufaa. Hii ndio njia mwafaka ya kuwezesha maeneo mbalimbali ya pwani na nchi nzima kwa jumla kuwa na mipangilio kabambe ya kimaendeleo."}