{"id":392732,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/392732/?format=json","text_counter":262,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mbura","speaker_title":"","speaker":{"id":13153,"legal_name":"Emma Mbura Getrude","slug":"emma-mbura-getrude"},"content":"Bi. Spika wa Muda, Sen. Beth Mugo ameeleza ya kwamba hakuna hospitali ambayo wagonjwa wa tuberculosis hulazwa na wagojwa wengine. Yeye hakusema kwamba wagonjwa hawalazwi pamoja. Ameongea kuhusu tuberculosis . Ningependa pia kumuunga mkono na kusema huo sio ukweli. Hata kama hospitali zetu zina uhaba wa vitanda, wagonjwa wa tuberculosis hawawekwi na wagonjwa wa maradhi mengine."}