{"id":398088,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/398088/?format=json","text_counter":223,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Leshoomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"Asante sana mhe Naibu Spika wa Muda. Mimi pia naunga mkono Hoja hii. Ningesema tu ukweli ni kwamba hawa homeguard s ama policereservists ni askari ambao sisi tuko nao. Askari wa Serikali ni wachache. Wengine pia wanachunga maeneo wanakopelekwa, na ndio maana tunamshukuru Mhe Lentoimaga kwa kuleta Hoja hii; kwa kweli eneo lake linahitaji hawa askari wa nyumbani. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."}