{"id":398106,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/398106/?format=json","text_counter":241,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Leshoomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"Nasema nashukuru Wabunge wote ambao wamechangia Hoja hii. Nashukuru kwasababu tuna shida kubwa sana katika mpaka. Kwa hivyo, tupitishe Hoja hii na tusaidiane. Asante."}