{"id":411378,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/411378/?format=json","text_counter":38,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Onyonka","speaker_title":"","speaker":{"id":128,"legal_name":"Richard Momoima Onyonka","slug":"richard-onyonka"},"content":"Ahsante Bw. Spika. Ningependa kuchangia hili jambo ambalo ni muhimu. Hasa ni kwa sababu wakati wa asubuhi pengine kuna jambo ambalo nilinena ambalo lilikukera kwa sababu nilikuona ukiniangalia kwa jicho kavu."}