{"id":412998,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/412998/?format=json","text_counter":750,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kwanza, nasimama kupinga Mswada huu ambao umependekezwa na upande wa Serikali kwa hoja zifuatazo: Kwanza, itakuwaje Waziri-Katibu kupewa nguvu za kuwateua manaibu Chancellor wa vyuo vikuu baada ya bodi ya seneti na Council kuwachagua katika nyadhifa hizo? Nafikiri hilo ni jambo ambalo silo la muhimu."}