{"id":412999,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/412999/?format=json","text_counter":751,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Jambo la pili ambalo linanifanya nipinge ni kwa sababu ukiangalia ile bodi ya vijana ambayo inafaa kuwa imeteuliwa na Waziri-Katibu, inapatiwa jukumu la kuweza kufanya makadirio ya bajeti na pia kupitisha mipango ya vijana ilhali vijana wale wamechaguliwa na vijana wenzao kote nchini."}