{"id":426697,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/426697/?format=json","text_counter":343,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Leshoomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"hajulikani. Kama kuna wale wanafahamu Al Shabaab, ni vizuri wajitokeze watuambie sura ya AlShabaab ni hii ili Wakenya wajue. Mtu yeyote akibeba bunduki, anaitwa Al Shabaab . Ninasema hivyo kwa sababu nilikuwa katika kamati ya usalama katika Bunge la Kumi, watoto wetu walichukuliwa na kwenda kufunzwa--- Tulitoka hapa tukaelekea Voi na tukapata watoto zaidi ya 600 wanafunzwa pale. Siku hiyo walitoka watoto kama---"}