{"id":427035,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/427035/?format=json","text_counter":242,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Bedzimba","speaker_title":"","speaker":{"id":1933,"legal_name":"Rashid Juma Bedzimba","slug":"rashid-juma-bedzimba"},"content":"Bi Naibu Mwenyekiti wa Muda, nasimama kupinga haya mabadiliko. Ikiwa tumewanyima magavana ambao wamechaguliwa na wananchi kwa kura, hatuwezi kumpatia mtu ambaye ameteuliwa. Kwa hivyo, napinga."}