{"id":427664,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/427664/?format=json","text_counter":377,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Haji","speaker_title":"","speaker":{"id":26,"legal_name":"Yusuf Mohammed Haji","slug":"yusuf-haji"},"content":"Ningependa kumweleza mheshimiwa kwamba wale ambao hawana amani ni Wasomalia. Somali ni mimi niko hapa na nina amani hapa Kenya. Kwa hivyo, tofautisha hiyo Somalia na Somali."}