{"id":428907,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/428907/?format=json","text_counter":126,"type":"speech","speaker_name":"Hon.Aburi","speaker_title":"","speaker":{"id":2901,"legal_name":"Lawrence Mpuru Aburi","slug":"lawrence-mpuru-aburi"},"content":"Kenya. Lakini mtu kama Mhe Duale alisema kwamba bomu sizilipuliwe kule Eastleigh lakini zilipuliwe kule Machakos; nataka kumuuliza kama Machakos haina watu? Nataka afahamu kwamba ina watu! Ni lazima asimame atueleze ile bomu alisema igonge Machakos---"}