{"id":429142,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/429142/?format=json","text_counter":361,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwaura","speaker_title":"","speaker":{"id":13129,"legal_name":"Isaac Maigua Mwaura","slug":"isaac-mwaura"},"content":"Pia, kumekuwa na tetesi kuhusu masuala ya usalama na nafikiri jambo hili linaweza kuangaziwa ili vijana wetu waweze kupata ajira na riziki ya kila siku."}