{"id":437210,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/437210/?format=json","text_counter":444,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chiaba","speaker_title":"","speaker":{"id":3,"legal_name":"Abu Mohamed Chiaba","slug":"abu-chiaba"},"content":"Peke yake! Bw. Naibu Spika, pesa hizi ni za kulipa madeni ya watu ambayo tumeyarithi kutoka kwa County Council ya zamani. Huu ni uonevu---"}