{"id":437759,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/437759/?format=json","text_counter":28,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Boy Juma Boy","speaker_title":"","speaker":{"id":758,"legal_name":"Boy Juma Boy","slug":"boy-juma-boy"},"content":"Hoja ya nidhamu Bw. Spika. Singependa kumkatiza Kiongozi wa Wengi lakini amesema kwamba jukumu la Seneti hii ni ku- impeach magavana. Hakuendelea kusema kwamba Katiba inaongea juu ya gavana na Rais. Ni sawa kwake kutaja magavana pekee bila kutaja Rais?"}