{"id":440548,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/440548/?format=json","text_counter":205,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"! Usinitizame tu; mapendekezo hayo yamo ndani ya Ripoti hii! Sasa, swali ni kwamba, je ni sawa sawa kuzungumza na mtu ambaye hasikii? Masikio anayo, macho yanaona, lakini hasikii!"}