{"id":442068,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442068/?format=json","text_counter":374,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Wanyama","speaker_title":"","speaker":{"id":1076,"legal_name":"Janet Nangabo Wanyama","slug":"janet-nangabo-wanyama"},"content":"Ningependa kumuunga mkono kwa sababu amesema kwamba inafaa Serikali iweke mikakati yakutosha katika vyuo na shule zetu ili walemavu au vipofu wapate haki zao katika nchi yetu ya Kenya."}