{"id":442998,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442998/?format=json","text_counter":268,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kwa kila kitu lakini kuna wale ambao wamejificha kwa kusingizia Al Shabaab . Ni lazima tuchunguze na kubaini kama kweli Al Shabaab wanahusika. Bw. Spika wa Muda, pia ningependa kuzungumza kuhusu vyombo vya habari. Kulikuwa na mambo ambayo yaliongelewa hapo---"}