{"id":443817,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/443817/?format=json","text_counter":364,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Leshoomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"Pengine Kamati ya Kilimo katika Bunge inafaa ilete ripoti kuhusu huu ukame. Hii ni kwa sababu ukame umezidi. Hata mashamba ambayo yamelimwa yameanza kukauka kwa sababu hakuna mvua."}