{"id":458484,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/458484/?format=json","text_counter":760,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Chidzuga","speaker_title":"","speaker":{"id":751,"legal_name":"Zainab Kalekye Chidzuga","slug":"zainab-kalekye-chidzuga"},"content":"Kwa hivyo, kuomba hii nafasi moja si kioja! Hii nafasi inapaswa kuwa itachukuliwa na mwakilishi wa wanawake na itakuwa ya mwanaume ama mwanamke kijana."}