{"id":464141,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/464141/?format=json","text_counter":388,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Leshoomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"Nilishuhudia mimi mwenyewe kile kilichofanyika kwenye mauaji ya halaiki ya watu kule Baragoi lakini tulipokuwa tukiulizana ni kitu gani kilifanyika, nilipelekwa kwenye afisi ya CID kwa sabau niliongea kuhusu jambo hilo. Ikiwa watu wako The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."}