{"id":464142,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/464142/?format=json","text_counter":389,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Leshoomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"wamekufa, na umeona; akiwemo mtoto wa ndugu yako, ukiwa kiongozi, utanyamaza? Ninaomba hivi. Sisi tuko katika Serikali; hatuko nje ya Serikali. Kenya ni yetu. Hakuna mahali tunaenda. Kenya ni yetu, na ni lazima tuseme ukweli ili makosa yarekebishwe."}