{"id":46586,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/46586/?format=json","text_counter":329,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Namwamba","speaker_title":"","speaker":{"id":108,"legal_name":"Ababu Tawfiq Pius Namwamba","slug":"ababu-namwamba"},"content":"Bw. Naibu wa Spika, shukrani kunipa nafasi kuchangia Hoja hii. Ningependa kuanza kwa kumshukuru mhe. John Mbadi kwa kupendekeza hoja hii muhimu sana. Naunga mkono hoja hii kwa dhati."}