{"id":470372,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/470372/?format=json","text_counter":101,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Haji","speaker_title":"","speaker":{"id":26,"legal_name":"Yusuf Mohammed Haji","slug":"yusuf-haji"},"content":"Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Hii hali ya kulia kila siku itabadilisha nini? President ameapishwa na Serikali kuundwa! Kwa hivyo, tuzungumze yale ambayo yanafaa kuzungumzwa na tuwachane na hayo mengine."}