{"id":470376,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/470376/?format=json","text_counter":105,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Muthama","speaker_title":"The Senator for Machakos County","speaker":{"id":96,"legal_name":"Johnson Nduya Muthama","slug":"johnson-muthama"},"content":" Ikiwa taifa letu litaongozwa hivyo na kila tunapopiga kura, kutakuwa na kunungunika na mambo ambayo yasiyo wazi, tumeona korti akiamua - kama korti kwamba wasimamizi wa Tume la uchaguzi la (IEBC) wachunguzwe na kupelekwa kortini---"}