{"id":47315,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/47315/?format=json","text_counter":197,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Bw. Spika, kila wakati Waziri akija hapa anatueleza mambo ya Wakimbizi wa Ndani. Kwa nini hawarudishwi pahali walikotoka? Kule walikotoka kuna ardhi; walikuwa wanaishi pahali fulani. Mbona wasirudi huko kama amani imerudi? Mpaka sasa ni kuzungushana, merry-go-round. Waziri, tumechoka!"}