{"id":473215,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/473215/?format=json","text_counter":178,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Aburi","speaker_title":"","speaker":{"id":2901,"legal_name":"Lawrence Mpuru Aburi","slug":"lawrence-mpuru-aburi"},"content":"Nani CORD? Niko CORD lakini niko CORD ambaye inaelewa inafanya nini katika nchi yetu ya Kenya. Na ndivyo nasema ya kwamba nyinyi mwasema kwamba Serikali haifanyi kazi---"}