{"id":474824,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/474824/?format=json","text_counter":41,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":252,"legal_name":"Ali Wario","slug":"ali-wario"},"content":"Mhe. Naibu Spika, ufafanuzi ninaomba ni kwamba wakati kulitangazwa kuwa kulikuwa na kazi, kulikuwa na pendekezo katika gazeti kwamba wanasiasa wasitoe mapendekezo. Nataka sababu ya hili jambo kwa misingi ya kisheria; kwa nini mwanasiasa asitoe mapendekezo?"}