{"id":475388,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/475388/?format=json","text_counter":247,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kumaliza ukabila katika taifa letu. Mbona wakati huo hawakuona kuwa nilikuwa nikinafanya makosa? Mimi niko katika mstari wa mbele kukataa ukabila."}