{"id":485515,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/485515/?format=json","text_counter":93,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Gathogo","speaker_title":"","speaker":{"id":2715,"legal_name":"Esther Nyambura Gathogo","slug":"esther-nyambura-gathogo"},"content":"Mhe. Naibu Spika, nilikuwa nimeguzwa sana kwa sababu mhe. Mbunge amesema anapoitisha gari anaambiwa hakuna mafuta. Kwa hivyo, tuangalie hilo na tena kuweka maafisa wa usalama ndio waweze kumsaidia; hili pia lifanyike katika maeneo mengine ambapo watu wanalia kama yeye. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."}