{"id":492966,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/492966/?format=json","text_counter":273,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, nashukuru Mheshimiwa Ngilu kwa kuja hapa lakini wakati huo alipokuwa anajibu, yale yalikuwa yanakuja kwangu ni “Karen kuna utata”. Wao wenyewe wamesema hii ardhi ni ya mtu mwingine. National Land Commission imesema hii ardhi ni ya mtu mwingine. Ukweli uko wapi?"}