{"id":495001,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/495001/?format=json","text_counter":220,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Mumo","speaker_title":"","speaker":{"id":808,"legal_name":"Rose Museo Mumo","slug":"rose-museo-mumo"},"content":"Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Ningependa kuchangia Mswada huu kwa lugha ya taifa kwa sababu jambo hili ni muhimu sana, hasa kwa akina mama wa Makueni na wengine katika nchi ya Kenya."}